Mwanadada Sarah ambae ni mpenzi wa Harmonize amefunguka na kutangaza katika vyombo katika ukurasa wake kuwa watu wengi wamekuwa wakimuuliza kuhusu mahusiano yake na Harmonize hasa ukizngatia kuwa harmonize amekuwa akionekana kuwa karibu sana na Jackline Wolper hivi karibuni.
Sarah anasema kuwa watu wasidanganyike wala kutaka kuendelea kumuuliza maswali kwa sababu ukweli ni kuwa bado hawajaachana na kuwa wapo pamoja na soon anakaribia kurudi Tanzania.