Baada ya kukaa muda mrefu bila kutaka kufuata taratibu na maagizo ya BASATA , wasafi wameona haitakuwa vyema kuendelea kukiuka taratbu na maagizo ya uongozi huo hivyo kuamua kufuta wimbo wa MWANZA katika channel yao ya you tube.
Tamko hilo ambalo lilitolewa mapema November 12 na katibu mtendaji kwa kufutwa kwa wimbo huo kutokana na kukosa kwa maadili tya wimbo huo lakini wasanii hao walikaidi, baada ya hapo walikuja kupokea faini nyingine ya milion 9 ikiwa kama kosa la kukiuka kufuata maagizo ya BASATA.